News roundup
-
Rais Kikwete apangua mawaziri, ateua wapya
Dar es Salaam, 4 May 2012
Rais Jakaya Kikwete ametangaza Baraza jipya ya Mawaziri kwa kuwapangua baadhi ya mawaziri na kuwateua wengine wapya wakimwepo naibu mawaziri. -
Rais Kikwete ateua Mbunge mwingine
Dar es Salaam, 4 May 2012
Rais Jakaya Kikwete leo, Ijumaa, Mei 4, 2012, amemteua Bibi Saada Mkuya Salum kuwa Mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unaanza mara moja. -
Dar es Salaam, 3 May 2012
Rais Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
More news
- Dar es Salaam, 7 April 2012
Rais Kikwete kuapisha Tume ya Katiba Ijumaa ijayo
Rais Jakaya Kikwete atazindua rasmi Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni ya Mabadiliko ya Katiba na kuapisha wajumbe wa Tume hiyo Ijumaa ijayo, Aprili 13, mwaka huu, 2012.
- Dar es Salaam, 7 April 2012
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Kanumba
Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) kuomboleza kifo cha msanii maarufu nchini Steven Charles Kanumba, aliyeaga dunia usiku wa kuamkia leo, (Jumamosi, Aprili 7, 2012).
- Dar es Salaam, 7 April 2012
Rais Kikwete atuma salamu salamu za rambirambi kifo cha Rais Bingu wa Mutharika
Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Makamu wa Rais wa Malawi, Mheshimiwa Joyce Banda kuomboleza kifo cha kiongozi wa nchi hiyo, Mheshimiwa Rais Bingu wa Mutharika.
Speeches
-
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, katika Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari 2011, Diamond Jubilee, Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2012.
-
Dar es Salaam,11 November 2011
Closing Statement by H.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic Of Tanzania at the CAADP Post–Compact Business Meeting held at the Blue Pearl Hotel, Dar es Salaam, 11th November, 2011.
-
Speech delivered by H.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, at the climax of the University of Dar es Salaam 50th Anniversary Ceremony held at the Nkrumah Hall on 20th October, 2011.










